Wednesday 8 July 2015

HABARI KATIKA PICHA: KUPUUZA MAELEKEZO IMEKUWA TAMADUNI SASA..

 
Gari likiwa limeegeshwa sambamba kabisa na kibao kinachozuia magari kuegeshwa katika eneo hilo.

Leo nimeshangazwa na uamuzi uliochukuliwa na madereva wa magari haya walipoamua kukiuka utaratibu wa magesho Moshi mjini.

Lakini ni wazi aliyeweka agizo hili kwa njia ya kibao hicho anajali usalama wa watu pamoja na magari haya kwani katika eneo hili shughuli za ujenzi zinaendelea na lolote linaweza kutokea.

Yatupaswa tujenge utaratibu wa kuheshimu maelekezo bila ya kusukumwa. 



Picha hii inaonesha jengo linaloendelea kujengwa ambalo linahatarisha usalama wa magari yanayoeheshwa hapo.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA