Tuesday 7 July 2015

PART ONE CHEKI PICHA ZA MAANDALIZI YA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR LIVE AT NYUMBANI HOTEL



Kamati ya maandalizi ikiongozwa na mkurugenzi mtendaji Jackline Chuwa (mwanzo kushoto) wakiwa wanafuatilia zoezi kwa umakini




Hizi ni picha za baadhi ya warembo waliojitokeza kuchuana katika shindano la kumsaka Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiwa katika sehemu ya maandalizi ambapo tukio hilo litafanyika tarehe 24 mwezi huu wa saba.
Ambapo FUNGUKA LIVE BLOG ikishirikiana na BONGO SWAGGZ BLOG pamoja na MO INTERNET RADIO itakuwa sambamba kukuletea maandalizi na tukio hilo la kihistoria mkoani Kilimanjaro litakalopambwa na mkali wa bongo fleva nchini Diamond Platinum.










0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA