BAADA YA KUANZA VYEMA: PEDRO AREJEA BARCELONA KUAGA
Ndani ya masaa 24 toka Pedro afunge goli amerudi katika klabu yake ya zamani ya FC Barcelona kuaga rasmi wachezaji wenzake wazamani, Pedro alipewa muda wa kwenda kuaga katika klabu ambayo ameitumikia kwa takribani miaka 10.
Pedro akiwa katika press room ambako kulikuwa na wachezaji zaidi ya 20 wakimuaga akiwemo Messi, Neymar na Gerard Pique
Siku kadhaa zimepita toka Pedro Rodriguez ajiunga na klabu ya Chelsea akitokea klabu yaFC Barcelona ya Hispania kwa dau la pound milioni 21.4. Hivyo alirudi Hispania kuaga wachezaji wenzake ambao wengine ameishi nao katika kipindi cha zaidi ya miaka 6.

0 comments:
Post a Comment