Tuesday 20 October 2015

FAHAMU: TAKWIMU MUHIMU AFRIKA



Afrika ni bara la pili kwa ukubwa na kwa kuwa na watu wengi Zaidi duniani. La kwanza ni Asia.
Ndani ya bara la Africa, nchi zinaongoza kwa ukubwa na udogo ni kama ifuatavyo:

NIGERIA: Hii ni kubwa kuliko zote  kwa idadi ya watu  wakati

ALGERIA ni nchi kubwa zaidi kuliko zote Afrika kwa ukubwa wa ardhi.

GAMBIA : Ndio nchi ndogo zaidi kuliko zote kwa  nchi zisizo na visiwa wakati.

Visiwa vya Shelisheli : Ndio nchi ndogo zaidi kwa nchi zilizo visiwa.

Afrika Kusini : Nchi Tajiri zaidi Afrika kwa viwango vya pato la taifa

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA