Sunday 27 December 2015

HUYU NDIYE NDEGE (BIRD) ALIYERUKA UMBALI WA MAILI 16,000 KUTOKA SCOTLAND HADI PERU NA KURUDI AVUNJA REKODI

 
kwanza mtu unachoweza kujiuliza ni aliwezaje kujulikana ameruka umbali huo na kuwa amefika Peru na Kurudi UK, right? Ndege huyo alifungwa kifaa maalum (tracking device) kwenye mgongo wake, kilichorekodi taarifa hizo.
Ndege huyo ‘red-necked phalarope’ ambaye inasemekana ni adimu kuonekana alivunja rekodi kwa kusafiri urefu wa maili 16,000 kutokea visiwa vya Shetland huko Scotland hadi Peru na kurudi akiwa salama.
Malcolm Smith wa RSPB alisema, ‘To think this bird, which is smaller than a starling, can undertake such an arduous journey and return safely to Shetland is truly extraordinary.’ 

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Kifaa kilichorekodi umbali wa safari ya ndege huyo
Aliongeza kuwa “When this guy left Shetland, he headed west straight across the north Atlantic, via Iceland and Greenland. ‘He went down the eastern seaboard of North America into the Caribbean, crossed into the Pacific where he wintered in the warm waters of Ecuador and Peru before returning back by more or less the same route.”

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA