KOCHA WA LIVERPOOL HANA KIKOSI RASMI LAKINI ANAJIAMINI
Kocha Jurgen Klopp ameonyesha kuwa uwezo mkubwa wa kujiamini akiwa na Liverpool inayoonekana kama haina kitu.
Maana kwa mechi tano mfululizo, Mjerumani huyo amekuwa akibadili kikosi kuonyesha kuna kikosi anachokitafuta na raha zaidi, hajapoteza hata mara moja.
0 comments:
Post a Comment