Thursday 31 December 2015

SHAIRI :2016



2016

Kuna mengi unajua lakini hujuwi 2016

Kuna mengi ulipanga lakini hukupanga 2016

Najua unawaza lakini unajua nini kuhusu 2016

Tunasubiri kwa hamu lakini nani atafika 2016

Tunajiuliza kuhusu 2016,Tunasema kuhusu 2016

Wengi watakuwa watoto 2016

Wengine watakuwa vijana 2016

Wengine watakuwa wazee 2016

Wengine watakuwa wazazi 2016

Tunajiuliza kuhusu 2016,Tunasema kuhusu 2016

Tushikame tukifika 2016

Tupendane tukifika 2016

Tuelezane ukweli 2016

Tujipange upya 2016

Tunajiuliza kuhusu 2016,Tunasema kuhusu 2016

Nawatakia mandalizi mema kuelekea 2016

Nawatakia tafakuri pana kuhusu 2016

Nawatakia mwanzo mpya 2016

Kabla mwaka hauja kutumia basi utmieni 2016

Tunajiuliza kuhusu 2016,Tunasema kuhusu 2016

Mtunzi : Kiduo Mgunga

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA