TBL YAPATA USHINDI WA JUMLA TUZO YA MUAJIRI BORA 2015 ATE
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL, David Magesa akipokea Kikombe cha mshindi wa jumla wa Mwajri Bora wa Mwaka 2015, kutoka kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu, Dkt. Florens Turuka na Makamnu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.
Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu, na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL, akipokea Kikombe cha mshindi wa jumla wa Mwajri Bora wa Mwaka 2015, kutoka kwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu, Dkt. Florens Turuka na Makamnu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.
Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakishangilia na vikombe vya ushindi walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka washindi wa jumla wa Tuzo ya mwajiri bora wa mwaka katika hafla iliyoandaliwa na Chama cha waajiri nchini (ATE) jijini Dar es Salaam jana.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya TBL, wakishangilia na vikombe vya ushindi
walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka
washindi wa jumla wa Tuzo ya mwajiri bora wa mwaka katika hafla
iliyoandaliwa na Chama cha waajiri nchini (ATE) jijini Dar es Salaam
jana.
0 comments:
Post a Comment