Wednesday 9 March 2016

DK EVA SASA ATAKA KOCHA JOSE MOURINHO AMUOMBE RADHI HADHARANI


Dk Eva Carneiro sass anataka kumuona Kocha wa zamani wa Chelsea, José Mourinho, akimuomba radii hadharani.

Eva amefikia uamuzi huo baada ya madai kwamba Mourinho alimdharirisha na kumuita ni mtu wa hovyohovyo baada ya kuingia kumtibu kiungo Eden Hazard katika mechi dhidi ya Swansea.

Eva aliamua kuondoka moja kwa moja Chelsea licha ya Mourinho aliyekuwa amemsimamisha kwa muda kukubali arejee.


Baada ya halo akafungua kesi ambayo inaonekana kukosa nguvu kwa manna ya kutaka kulipwa lakini suala la kuomba radhi linawezekana na wanasheria wake wameonakan kutaka kulisimamia hilo.

Wakati Eva anaingia kumtibu Eva, matokeo yalikuwa ni bao 1-1, jambo ambalo Mourinho aliona kama alikuwa akipoteza muda na wao walikuwa wakicheza vizuri na wangeweza kusawazisha.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA