Wednesday 16 March 2016

NAIBU WAZIRI WA KILIMO ATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA ,AHIMIZA WAKULIMA WA SHAYIRI WAZIDI KUWEZESHWA





Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Arusha, Mhandisi Salvatory Rweyemamu (kulia) alipotembelea kiwanda hicho


Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo  ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja Mauzo wa kiwanda cha TBL cha Arusha Davis Deogratius (kushoto)alipotembelea kiwanda hicho ,wengine kwenye picha  ni  Maofisa  wa Meneja wa Kiwanda 


 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa kutoka kushoto) akifuatilia kwa makini mada kuhusu zao la Shayiri linalotumiwa katika uzalishaji kwa  wa bia  wakati alipofanya ziara  kwenye kiwanda cha TBL  mkoani Arusha,kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hich Mhandisi Salvatory Rweyemamu.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha(katikati)akimsikiliza Meneja wa Vifungashio(Packaging Manager) wa kiwanda cha TBLmkoa wa Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo,kulia ni Katibu wa Naibu Waziri Jeremia Temu

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha na ujumbe wake (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa Vifungashio (Packaging Manager) wa kiwanda cha TBL cha Arusha  Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo.



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA