ZLATAN APIGA NNE ,PSG IKISHINDA 9-0 DHIDI YA TROYES
| Zlatan Ibrahimovic akishangilia bao la nne pamoja na wachezaji wenzake |
Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao manne katika ushindi wa 9-0 ugenini dhidi ya Troyes kwenye mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa usiku wa leo Uwanja wa Aube. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani, Adrien Rabiot, Dreyer na Saunier aliyejifunga.
| Rabiot akipachika bao katika mchezo huo uliokuwa mteremko kwa PSG |


0 comments:
Post a Comment