Thursday 7 April 2016

UFARANSA YAPITISHA SHERIA INAYOKATAZA KUNUNUA NGONO


Nchi ya Ufaransa imepitisha sheria inayokataza kulipia ngono na mtu atakayebainika kutenda kosa la kununua ngono atatozwa faini ya dola 4,274.

Kama hiyo haitoshi mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa la kununua ngono atalazimika pia kupelekwa darasani kujifunza hali ya maisha ya makahaba.

Wakati sheria hiyo ikipitishwa watumishi wanaojiuza miili yao waliandamana kupinga sheria hiyo kupitishwa.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA