WAFANYAKAZI TBL GROUP WATUNUKIWA TUZO YA KUTAMBUA MCHANGO WAO KWA KAMPUNI
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group, Roberto Jarrin akiongea na wafanyakazi wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo ya kutambua mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller Africa, Mark Bowman akiongea na wafanyakazi na TBL Group wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo ya kutambua mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) akimkabidhi Raphody Mwakajinga kikombe cha ushindi kwa idara yao kufanya vizuri wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika, Mark Bowman ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya kutambua mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi Afisa Masoko wa kampuni ya Bia Tanzania Foibe chome, cheti cha tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya wakati wa hafla iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi Unice Malle cheti cha tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya wakati wa hafla iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller Africa, Mark Bowman ( kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni . Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana
Washindi wa kwanza wa Tuzo ya wafanyakazi ya You Make a Difference wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment