Saturday 21 May 2016

TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM , WILLSON KABWE AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na  Meya wa Jiji la Dar  es Salaam,Isaya Mwita

Kabwe amefikwa na mauti  akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA