Wednesday 11 May 2016

WAFANYAKAZI TBL GROUP WAPIMA AFYA ZAO

Mmoja kati ya wafanyakazi akipima afya  katika zoezi hilo



Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.
Zoezi  hili limefanyika katika kiwanda cha TBL  kilichopo jijini Dar es salaam.
Pichani ni baadhi ya wafanyakazi wakipima afya zao katika zoezi hilo






Picha na TBL

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA