HIVI NDIVYO MWANARIADHA OSCAR PISTORIUS ALIVYOTEMBEA BILA MIGUU BANDIA MAHAKAMANI
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ametembea kwa taabu Mahakamani akitumia sehemu ya miguu yake iliyobakia katika kujaribu kumshawishi Jaji kuwa yeye ni dhaifu mno kuweza kumuua kwa makusudi mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Mwanariadha huyo anayetumia miguu maalum ya kukimbilia, alitakiwa kuvua miguu yake bandia, na kubakia na miguu yake iliyobakia wakati wa kesi yake iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja kwenye runinga.
Oscar Pistorius akisimama kwa kutumia sehemu za miguu yake iliyobakia
Oscar akijikaza na kutembea kwenye chumba cha mahakama
0 comments:
Post a Comment