Saturday 4 June 2016

HIVI NDIVYO WATU MAARUFU AKIWEMO DONALD TRUMP WALIVYOANDIKA MITANDAONI KUHUSU KIFO CHA MUHAMMAD ALI







Donald Trump also wrote on Twitter that Ali was a 'truly great champion and a wonderful guy'

Dunia imepokea kwa mshituko taarifa za kifo cha mkongwe na bingwa wa zamani wa masumbwi Muhammad Ali aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74 nchini Marekani alipokuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kushindwa kupumua.

Wengi wameonekana kuguswa na msiba huu na kuonesha hisia zao kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter,Facebook na SnapChart. Katika kurasa hii inakuletea watu maarufu katika soka siasa na ndondi walivyomzungumzia  Muhammad Ali.



Mike Tyson wrote about how 'God came for his champion' as Muhammad Ali sadly passed away


Michael Owen, another former England footballer, also took to Twitter to react to the news

Roy Jones Jr tweeted that his 'heart is deeply saddened' by the death of the great Ali
Former England international footballer Gary Lineker also took to Twitter to pay his respects to Ali



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA