Saturday 4 June 2016

MADEREVA TBL MWANZA WAPIGWA MSASA KUHUSU UDEREVA WA KUJIHAMI




Mkufunzi, Herbert Kubo akitoa elimu kwa madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza katika mafunzo ya wafanyakazi hao yaliyofanyika kiwandani hapo jana






Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo  yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu.

 

Madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Herbert Kubo kiwandani hapo jana

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA