Wednesday 27 July 2016

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM MH MAGUFULI AKUTANA NA SEKRETARI YA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na na kshoto baadhi yao ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Picha zote na Bashir Nkoromo)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyesimama) akitoa maneno ya utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Hamdan Meghji alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana naKatibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi, Seif Shaban Nasoro alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka Hamdu Shaka alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa CCM wa Shirikisho, Siraji Madebe alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti, Anamringi Macha alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ya Mwenyekiti kuwasili Makao Makuu ya CCM, leo. Kushoto ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula 
PICHA NA BASHIR NKOROMO

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA