Friday, 12 August 2016

MLIPUKO WA MABOMU ILIYOLENGA MAENEO YA UTALII THAILAND YAUWA WATU WANNE


Watu wanne wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia milipuko ya mfululizo iliyoratibiwa iliyolenga maeneo ya utalii nchini Thailand.



Watalii walilazimika kuwakimbia washambuliaji baada ya milipuko miwili kutokea katika eneo la hoteli ya Hua Hin jana usiku na kuuwa mwanamke mmoja raia wa Thailand na kujeruhi wengine 21.
             Wanajeshi wakimpatia msaada mtalii aliyejeruhiwa katika milipuko hiyo
 Watalii waliojawa na hofu wakiwa na mwanajeshi aliyekuwa akiwapa maelezo na kuwatuliza

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA