Monday 19 September 2016

HIKI HAPA USICHOKIJUA KUHUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND FT RAYVANY

Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. 

Ni yenye ladha ya asili toka mkoani Kagera (unaweza kusema ni remix ya ule wimbo wa mwana mama Saida Karoli Chambua kama Karanga) japo amechanganganya na baadhi ya vionjo toka Africa ya Kati.

Aliyeshoot video - Nicorux kutoka Afrika Kusini
Lini- Aprili, 10 mwaka huu, 

itizamehapa.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA