DK. SHEIN AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU CHAKECHAKE
MRAJISI wa mahakama kuu Zanzibar George Joseph Kazi, akimueleza jambo rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein, wakati alipolitembelea jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kulizindua, (Picha Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mawenyekiti wa baraza la mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein akiwa na Jaji mkuu wa Zanzibar Mhe: Omar Othman Makungu, wakitoka nje ya jengo la mahakama kuu Chakechake, ambalo baada ya kufanyiwa mtengenezo makubwa, sasa limeshazinduliwa rasmi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
PICHA ya pamoja baina ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk Ali Mohamed na viongozi wakuu wa mahakama, mawaziri mara baada ya rais huyo, kulizindua jengo hilo la Mahakama kuu Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar dk: Ali Mohamed Shein pamoja na watendaji wa mahakama kuu wakielekea kwenye uwanja wa Tenis Chakechake, ili kuwahutubia wananchi na wafanyakazi wa mahakama, mara baada ya kulizindua jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, ambalo liliofanyiwa matengenezo makubwa hivi karibuni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein akipiga kofi, mara baada ya kuwasili uwanja wa Tenis Chakechake Pemba, baada ya kulizindua jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, kulia ni Naibu waziri wa Katiba na sheria, Khamis Juma Maalim na kushoto ni Jaji mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
0 comments:
Post a Comment