Tuesday, 27 December 2016

LIGI KUU UINGEREZA:: GIROUD AIPATIA ARSENAL USHINDI KATIKA DAKIKA ZA MWISHO

Victory for Arsenal means they stay nine points behind Premier League leaders Chelsea after 18 matches
Mshambuliaji wa Arsenal Oliveir Giroud amefunga goli la ushindi katika dakika za mwisho na kumaliza gundu la kufungwa michezo miwili ya Ligi Kuu ya Uingereza kwa ushindi dhidi ya West Brom.

Giroud alianza kwa mara ya kwanza katika kikosi cha kwanza katika msimu huu, na alifanikiwa kufunga kwa mpira wa kichwa akiunganisha krosi ya Mesut Ozil katika dakika ya 86 ya mchezo huo.

Hadi Arsenal inapata goli hilo ilikuwa inaongoza kwa kumiliki mpira kwa asilimia 80, lakini ilikuwa na wakati mgumu kufanikiwa kutikisa nyavu za West Brom kazi kubwa akifanya kipa Ben Foster.
                     Olivier Giroud akiwa ameupiga mpira kwa kichwa uliozaa goli pekee 
             Aaron Ramsey akishangilia kuona mpira wa kichwa uliopigwa na Giroud ukitinga wavuni
Giroud celebrates with the jubilant Gunners faithful after keeping them in the Premier League title race

Msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi za jana 


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA