Tuesday 8 March 2022

SEKTA YA UJENZI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE 2022

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), wakiwa kwenye maandamano katika kusherehekea na kuadhimisha  Siku ya Wanawake Duniani, ambapo kwa Mkoa wa Dodoma yamefanyika wilayani Chemba.

 


Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), wakiwa wamebeba bango lenye kauli mbiu ya kuwahamasisha Watoto wa kike kupenda kusoma masomo ya sayansi na baadae kuwa wahandisi, katika Siku ya Wanawake Duniani Wilayani Chemba Mkoani Dodoma.



Baadhi ya Watumishi wa Sekta ya Ujenzi, wakiifurahia siku ya Wanawake Duniani wakati wa Maadhimisho hayo ambayo kwa mkoa wa Dodoma yamefanyika Wilayani Chemba



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA