Tuesday 18 March 2014

AMINI USIAMINI HUYU NI MSANII WA NYIMBO ZA INJILI


 
Wengi wetu tunaamini hii ni moja kati ya ishara za mwisho wa dunia, hebu fanya kujaribu kuiangalia picha hii kwa makini, hivi kweli unaweza kusema Wakristu wanaendelea kwa sababu dunia nayo inaendelea? Mwanamke huyu kweli anaweza diliki kusema kwamba anaishinda roho ya Mungu akiwa anafanya uchafu kama huu akiwa kwenye steji?
KWAHABARI ZAIDI ZAMA NDANI YA BONGO

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA