Tuesday 18 March 2014

BUNGE LA KATIBA LAHAIRISHWA

KUTOKANA NA MTAFARUKU ULIOJIRI




Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mh Sammuel Sitta amehairisha bunge baada ya kutokea kutoelewana kwa wajumbe na wabunge wa bunge la katiba.Chanzo cha mtafaruku huo ni baada ya Wajumbe na Baadhi ya wabunge wa upinzani kupinga Jaji warioba asiwasilishe rasimu ya katiba leo mpaka Rais ahutubie Bunge hilo kwanza.Mwenyekiti wa Bunge akaruhusu Jaji Warioba aendeleee na Uwasilishaji lakini wabunge wakaanza kujibizana na kupiga makofi na meza za bunge.Baadhi ya wajumbe wametoka nje na wengine wamebaki ndani huku wakiwa wamesimama. 
habari na father kidevu

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA