DUNIA IMEKWISHA...PICHAZ..KUTANA NA KANISA AMBALO WAUMINI WAKE HUSALI UCHI...AIBU TUPU..
Habari hii imekuwa ikimake Headline katika vyombo vya habari mbalimbali duniani, Hii ni kuhusu kanisa hili lililopo huko Virginia ambapo lmekuwa likiwashangaza baadhi ya watu wengi kutokana na style mpya ya kuabudu/kusali kwao huku wakiwa Uchi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikifanya juhudi ya kumpata muhusika mkuu wa kanisa hilo ili kueleza kinagaubaga kwanini na ni kwasababugani wanaabudu wakiwa Uchi....!! baada ya tafuta tafuta walifanikiwa kumpata mchungaji wa kanisa hilo ndipo alipowaeleza mabo kadhawakadha yahusuyo kanisa hilo.

na wananchi blg
0 comments:
Post a Comment