PICHA ZA KWANZA ZA MAZISHI YA MTOTO WA MAKAMU WA MWENYEKITI WA CCM TAIFA:- MZEE MANGULA!!
Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela Mangula Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.
Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Nemela Mangula,mkoani Njombe
na wananchi Blg
0 comments:
Post a Comment