NOMAA::::ANGALIA PICHA TEMBO HUYU MWENYE HASIRA KALI ALIVYO MTANDIKA KIBOKO
" Hapa kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa kichapo cha hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku anatingisha kichwa.
" Sasa nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.
"Tena waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee ..... kimbieniiiii..... atawamaliza! !"
Hapa kichapo tuu......
Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee......
NA Daily Mail

0 comments:
Post a Comment