UGANDA yatoa tahadhari kuhusu Al Shabaab
Kundi la Al Shabaab limefurushwa Mogadishu kutokana na juhudi za wanajeshi wa Muungano wa Afrika
Uganda imetoa tahadhari kwamba kundi la wanamgambo la Al Shabaab linapanga kutumia malori ya mafuta kama mabomu katika mahambulizi yao.
Taarifa hii inakuja siku moja baada ya polisi kuwakamata washukiwa wawili wa ugaidi waliokuwa na mabomu wakinuia kutekeleza mashambulizi mjini Mombasa.
Kufuatia hilo.....
KWA HABARI ZAIDI ZAMA KIMATAIFA
TOKA bbc
KWA HABARI ZAIDI ZAMA KIMATAIFA
TOKA bbc
0 comments:
Post a Comment