Thursday 20 March 2014

Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa?

Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa?


          Pichani niRidhiwani Kikwete


Katiba ya nchi hii imetoa uhuru kwa mtu yeyote kufanya siasa ikiwa ni pamoja na kugombea nafasi yoyote anayoitaka.
Je raia wote wa nchi hiyo wanatumia uhuru huo kama ulivyotolewa na Katiba ya nchi hiyo
Ridhiwan Kikwete yupo kewnye mchakato wa kugombea ubunge  katika jimbo la Chalinze nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Wengi wanahoji suala hili wakihusanisha na ule mchezo wa kurithishana.
Sambamba na hili ni Kule Kalenga ambapo mtoto wa aliyekuwa waziri wa Fedha Marehemu Mgimwa kushinda ubunge...pia kipindi kilichopita kule Arumeru mtoto wa Mbunge kugombea baba yake alipofariki.
JE UNA MAONI GANI KATIKA HILI??????????

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA