Wednesday 16 April 2014

GURUMO AZIKWA KIJIJINI KWAO MASAKI, KISARAWE

Mazishi ya Maalim Gurumo kijijini kwao Masaki, Kisarawe mkoani Pwani.

Saidi Mabela akitoka kaburini baada ya kumhifadhi kiongozi mwenzake, Gurumo.

Waombolezaji wakifukia kaburi la Gurumo huko Masaki, Kisarawe mkoani Pwani.…
Mazishi ya Maalim Gurumo kijijini kwao Masaki, Kisarawe mkoani Pwani.
Saidi Mabela akitoka kaburini baada ya kumhifadhi kiongozi mwenzake, Gurumo.
Waombolezaji wakifukia kaburi la Gurumo huko Masaki, Kisarawe mkoani Pwani.
Mwanamuziki Profesa Jay akiwa makaburini, Masaki, Kisarawe.
Mwanamuziki Ally Choki akihojiwa baada ya mazishi.
Mbunge mteule wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihojiwa baada ya maziko ya Gurumo.
Mwili wa marehemu Gurumo ukishushwa kaburini.
Waombolezaji wakiwa kaburini tayari kuupokea mwili wa Gurumo na kuuhifadhi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA