SIMBA AVAMIA GARI LA WATALII MBUGANI CHEKI PICHA HAPA
08:00 |
No Comments |
Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, tabianchi blog
Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya ziwa ukisikia nenno kama 'kabili ng'wanza!' unaweza kuelewa.
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.Chanzo Tabia Nchi Blog
The lion smashed one of the windows…
…and made a mess of the paint and bodywork with his claws
Related Posts:
WAZIRI MKUU MSTAAFU WARIOBA AZIDI KUKOROGANA NA SERIKALI YA CCM ONA ALICHOSEMA SASA jaji Warioba aishangaa Serikali “Pamoja na lugha ya kejeli inayotumiwa na Serikali kuniita mnafiki, busara ya kawaida ilitakiwa kutumi… Read More
MSAKO ULIONGOZWA NA WAZIRI WANASA MAJANGALI SABA NA MENO YA TEMBO KIBAO SINGIDA Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiangalia meno ya tembo katika Kituo cha Kikosi cha Kupambana na Ujangili (… Read More
ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA TIGO Head of Targeted Sales at Tigo TanzaniaRole PurposeResponsible for the full operation of the Targeted Sales department, from the identification and… Read More
MAGAZETI YA LEO BONGO JUMAMOSI/SATURDAY 5/4/2014 LIVE!! . .............................millard ayo… Read More
MAJALADA YA KESI YA RUSHWA YA MBUNGE WA CHADEMA ROSE KAMILI YAKAMILIKA TAYARI KWA KUANZA KESI Jalada la kwanza ni la tuhuma za kutoa rushwa zinazomkabili mbunge ambazo zilitokana na walinzi wa CCM kumkamata wakidai alikuwa akifanya uhalifu hu… Read More
0 comments:
Post a Comment