ARJEN ROBBEN AFUNGUKA KUHUSU KUTUA MAN UNITED
Imechapishwa Mei 24, 2014, saa 12: 30 jioni
Arjen Robben amesema kuna asilimia sifuri za yeye kuondoka katika klabu ya Bayern Munich kujiunga na Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu.
Arjen Robben amesema kuna asilimia sifuri za yeye kuondoka katika klabu ya Bayern Munich kujiunga na Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu.
Winga
huyo raia wa Uholanzi ni moja ya wachezaji wanaowindwa na kocha mpya wa
Man United, Louis van Gaal ambaye anataka kuwaleta baadhi ya wachezaji
kutoka Bundesliga.
Robben amesisitiza kuwa haiwezekani kuungana na Va Gaal kwasababu ana furaha chini ya Pep Guardiola nchini Ujerumani.
0 comments:
Post a Comment