ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA
Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa.
TIMU
ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi
ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha
pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao
wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo
ilikuwa 1996!
0 comments:
Post a Comment