Wednesday, 7 May 2014

NYOTA WA MUZIKI, KEISHA AJIFUNGUA MTOTO MWINGINE WA KIUME, TAZAMA PICHA



Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.

Akizungumza nasi  leo, Keisha amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.
 
“Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema
 
 
BLOG INAKUPA HONGERA NA KUKUTAKIA MALEZI BORA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA