Wednesday 4 June 2014

MUME WANGU KWA WIKI MARA MOJA TU, NDOA INA MIEZI MIWILI

Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa. 

Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukis3x akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia, ni mpaka labda kesho tena au baada ya siku kadhaa.

Sasa mara nyingi sifiki kunako huwa ananiacha na nye'e, nikiwa peke yangu najisugua na mto hadi nafika mwenye na nimeshazoea hivyo wakati mwingine siku hizi hata simsumbui nataka. Kwa sababu kipindi cha nyuma nilikuwa namsumbua anasema subiri mpaka asubuhi.

Mara subiri nilale kidogo full majanga, hivi nauliza huyu atakuwa anaupungufu wa nguvu za kiume au ni nini?

Zaidi ni mdogo tu kijana hata 30 hajafikisha.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA