Samuel Eto’o, Lampard, Cole na Mtanzania Nditi kuachwa na Chelsea
May 23
2014 inaingia kwenye historia hata kwa Watanzania wenyewe manake kuona
mkali wetu ameachwa kwenye kikosi cha Chelsea msimu ujao sio habari
njema.Kwa mujibu wa tovuti ya Premier League, Frank Lampard Ashley Cole
na Samuel Eto’o inasemekana wameachwa kwa sababu mikataba yao na Chelsea
imemalizika ambapo pia mtanzania Adam Nditi nae ameingia kwenye list ya
wachezaji walioachwa na club hiyo.
0 comments:
Post a Comment