Tuesday 24 March 2015

NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150


Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka.NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa.

Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani.
Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings imeripotiwa kuanguka katikati ya Barcelonnette na Digne.
Rais wa Ufaransa amesema: "Mazingira ya ajali hiyo ambayo bado hayajawekwa bayana, yanawapa wasiwasi kufikiri kama kuna mtu yeyote aliyenusurika

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA