Friday 2 May 2014

USHOGA WA JACKLINE WOLPER NA JOKATE KIDOTI WAPAMBA MOTO, WADAU WAUSHITUKIA..SOMA ZAID HAPA

Waoh to good for them, kama tunavyofahamu kuwa this two staaz of bongo wametokea mbali na wameweza kukaa kwenye game kwa mda mrefu, kwa wolper ki2 kilichompatia umaarufu ilikuwa ni isue concerning movies and on the part of kidoti alishawah kuwa miss tz namba 2, So kutokana na ustaa wao basi wakajikuta mastaa wawili hao wamekuwa karibu sana , kiasi ambacho some of outing zao huwa wanatokaga pamoja, so good for them n mashabiki huwa wanafurahi sana pindi wanapoona mastaa kama hvyo wakiwa wako pamoja for long tym.
>>SWAHILITZ

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA