WACHEZAJI WA REAL MADRID WAKIREKODI WIMBO WA KUSHANGILIA UBIGWA
Real
Madrid walibeba ubingwa wa 10 wa kihistoria wa ulaya wikiendi hii,
walishangilia ubingwa kwenye mitaa ya jiji la Madrid wakiwa na mashabiki
wao wapatao 80,000, lakini Cristiano Ronaldo, Bale na wenzao hawakushia
pale tu.
Mastaa hao wa Madrid waliungana na timu nzima kuingia studio kurekodi version mpya ya wimbo wa klabu wa ‘HalaMadrid’.
Wimbo huo kwa sasa unapatikana kwa kuuzwa kwenye iTunes, na hapo chini ni picha wakati walipokuwa wakirekodi wimbo huo.
0 comments:
Post a Comment