Wednesday 11 June 2014

CHEKI JNSI MSANII NEY WA MITEGO ALIVYOSHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA ANGALIA PICHA



Msanii wa muziki Jitaman (kulia) akilishwa keki na rafiki yake Nay wa Mitego.



Nay wa Mitego akifungua Shampeni na waalikwa.


Nay wa Mitego akimlisha keki mmoja wa marafiki zake.



STAA wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, juzi usiku alifanikiwa kukusanyika na ndugu na jamaa zake wa karibu kwa ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake miaka 29 iliyopita.  Ishu hiyo ilifanyika nyumbani kwake Kimara-Baruti ambako aliwashukuru mama na baba yake na Mungu, mashabiki wake na mpenzi wake, Siwema kwa kuifikia siku hiyo.

(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA