Tuesday 3 June 2014

DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:

1. Dalili ya kwanza inayomuashiria
mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya
kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa
wanawake wengi napozungumzia dalili hii
sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo
ila kelele zinazopigwa ni zile za raha
zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama
alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza
kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia
kuna wanawake wengine hujikuta
wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,

2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia
kumtambua mwanamke anapotaka kufika
kileleni ni hii wanawake wengi hubainika
kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na
wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi
wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu
nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka
wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia
unaweza kumuona mwanamke mwingine
anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila
fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta
anafanya vitu bila kutarajia.

- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili
chache sidhani kama ikitokea mwanamke
wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako
itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida
katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki
ya kuridhika katika sehemu ya kusex. Ushauri
wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi
mazuri kabla ya tendo kwani siku zote
huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na
msingi na kwenye mapenzi pia huwezi
kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila
kumuandaa..

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA