ZINGATIA HAYA BAADA YA KUAMKA
1. Usiamke na kinyongo hata kama umekwazwa.
2. Tarajia Kheri hata kama Majaribu mengi yanakusonga.
3. Toa msamaha kwa kila aliyekuudhi hata kama hujaombwa msamaha.
4.Onyesha furaha hata kama moyo wako unasononeka kwa kiasi kikubwa.
5.Wapende na kuwaombea adui zako, Mungu atakubariki,
NAKUTAKIA ASUBUI NJE MA
0 comments:
Post a Comment