Tuesday 3 June 2014

DAVID VILLA ATINGA MAREKANI,,ASAJILIWA NA NEW YORK FC


First of many... New York FC posted a picture of David Villa holding the shirt on their Twitter account
Farewell: David Villa has said his goodbyes to Atletico Madrid ahead of his move to New York City
Kwaheri: David Villa amewaaga  Atletico Madri.KLABU ya New York City FC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania, David Villa kwa mkataba wa miaka mitatu.
 Klabu hiyo kubwa  inayomilikiwa  na  Manchester City na  New York Yankees, imethibitisha katika mtandao wake wa Twita kuwa nyota huyo mwenye miaka 32 ni mchezaji wao mkubwa wa kwanza kumsajili.
Klabu ilitweet: “Karibu  New York City: David Villa (@Guaje7Villa) rasmi amesaini kama mchezaji wa kwanza mkubwa kusajiliwa na £NYCFC. £VillatoNYCFC.’
Villa anakwenda Marekani baada ya kuwasaidia Atletico Madrid kushinda taji lake la kwanza tangu mwaka 1996 na kufika fainali ya UEFA ambapo walipoteza dhidi ya Real Madrid.Nyota huyo alijiunga na Atletico majira ya kiangazi mwaka 2013 baada ya kucheza misimu mitatu ya mafanikio katika klabu ya Barcelona, wakati huo huo aliwahi kuzichezea  Valencia, Real Zaragoza and Sporting Gijon.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA