MWILI WA MTOTO ALIYEISHI KWENYE BOKSI MIAKA 3 'NASRA RASHID' ULIVYOWASILI MOROGORO
| Mwili wa Nasra ukipelekwa mochwari kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro. |
| Mwili wa mtoto Nasra Rashid ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro |
| Wanahabari wakichukua matukio wakati mwili wa mtoto Nasra ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro. |
| Mwili wa mtoto Nasra ukiwa mochwari. |
![]() |
| Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4) kuwasili mkoani Morogoro NA MATUKIO BLG |


0 comments:
Post a Comment