Friday 20 June 2014

NEW***Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Chege na Temba-Wauwe

Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni yako hapo chini ili baadae wakipita wasome ulichokisema kuhusu wimbo huu mpya ambao kashirikishwa Malomboso kutoka Yamoto Band.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA