Monday, 2 June 2014

PICHA YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE MJINI KIGOMA LEO



Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.

Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.

Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu. 

Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA