YAMETIMIA**HEMEDY PHD NIMESHA CHAFUA SANA SASA NATAKA KUOA CHEKI PICHA ZA MCHUMBA WAKE HAPA HATAR
05:07 |
No Comments |
muna akiwa kwenye pozi tata
Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november
huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa Muna aka Momo
Hemedy akiwa na mchumba wake Muna
Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november

Related Posts:
WATEJA WAFURAHIA MICHUANO YA ICC INAYOONEKANA KUPITIA STARTIMES Meneja Mauzo wa StarTimes Tanzania, Bw. David Kisaka akizungumza na timu ya StarTimes na maveterani wa uwanja wa Mwembe Yanga – Temeke ka… Read More
DK. KIGWANGALLA ASIMIKWA UCHIFU WA WANYAMWEZI WA TANZANIA, AAHIDI MAKUBWA Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla amepewa heshim… Read More
PAUL MAKONDA::MASHOGA DAR ES SALAAM WALINIKALIA KIKAO MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema tangu alipotangaza kuanza kukamatwa kwa mashoga, amebaini kuna mkakati unawaohusisha watu hao … Read More
MRADI WA HARAMBEE NI MKOMBOZI WA WANANCHI WA KIJIJI CHA CHOLE, MAFIA - PWANI Mwenyekiti wa Kijiji cha Chole, Shehari Ahmadi akielezea waandishi wa habari maendeleo ya kijiji cha Chole ikiwa ni pamoja na kutolea ufafanuzi sua… Read More
TANZIA:: COMEDIAN KUNDAMBANDA AFARIKI DUNIA Taarifa za awali zinaeleza kuwa msanii wa vichekesho Ismail Issa Makombe maarufu zaidi kama KUNDANBANDA amefariki dunia nyumbani kwa… Read More
0 comments:
Post a Comment