MTOTO AZALIWA NA MKIA , AABUDIWA KAMA MUNGU,INDIA
05:13 |
No Comments |
Mvulana mdogo aliyezaliwa na mkia unaofikia urefu wa inch saba anatarajia kufanyiwa upasuaji ili utolewe licha ya kuwa anaabudiwa kama Mungu na watu wa jamii yake.
Arshid Ali Khan, mwenye miaka 13 anaweza kuathiriwa ukuaji wake kutokana na mkia huo ingawa unamfanya aonekana kama alama ya uponyaji katika Jimbo la Punjab, India.
Mtoto huyo anayetumia kiti cha watu wenye ulemavu amekuwa akiabudiwa na watu wa jamii yake kama Mungu aliyepewa jina la Balaji.
Khan anasema mkia huo amepewa na Mungu na anaabudiwa kwasababu ni Mungu huyo huyo ndiye anayemuomba ambapo maombi ya watu hugeuka kuwa kweli.
Anasema hajisikii vizuri wala vibaya kuwa na mkia huo yeye anaona sawa tu.
Arshid sasa anaishi na babu yake Iqbal Qureshi, na wajomba zake wawili baada ya baba yake kufariki akiwa na umri wa miaka sita na mama yake kuolewa tena.
Related Posts:
UJUMBE ALIO UANDIKA DIAMOND KUTOKANA NA MFULULIZO WA VIFO VYA WASANII … Read More
MWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI, VILIO VYATAWALA Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochw… Read More
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU USDM AMEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA KWENDA KUPUMZIKA HOSTEL ENZI ZA UHAI WAKE.. !-- Blogger automated replacement: "https://images-blogger-opensocial.googl… Read More
ANGALIA PICHA ZA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GERGE TYSON Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu. Baa… Read More
WANAMGAMBO 17 WA AL-SHABAAB WAKAMATWA MKOANI ARUSHA.....WANATUHUMIWA KULIPUA BOMU ARUSHA NIGHT PARK, WAWILI WASOMEWA KESI HOSPITALINI Polisi imesema imekamata watu 17, wanaotuhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu jijini Arusha na usajili wa vijana kwa lengo la kuwasafiris… Read More
0 comments:
Post a Comment